Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto.
Magreth sasa anaiomba mahakama...