CHANZO CHA PICHA,HIMADRI SINHA ROY
Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu.
Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul, moja ya milima mirefu, katika jimbo la...