GTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet...