internet

  1. Wale tuliopigwa fix mbalimbali zamani wakati bado tupo zama za giza bila internet tukumbushane fix mbalimbali

    Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
  2. R

    Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  3. Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

    Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
  4. I think I'm addicted to Internet usage

    Hello jf members. I spend about 97% percent in internet and when I'm offline I feel like I'm sick , I entirely live in an imagination world rather than in the reality. I consume a lot of money for buying data . I think I can't control myself from this situation, I need someone to help me.
  5. TTCL home Internet Installation Manual

    Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko kuna mnara wa TTCL na inatoa huduma. Sasa niliongea nao kuhusu kununua router na kufanyiwa...
  6. F

    Mtandao wa Tigo intaneti iko chini sana

    Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
  7. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  8. Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo πŸ˜‚ . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  9. Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  10. Gharama kubwa za Internet ni namna nyingine ya kuzia uhuru wa watu kujieleza na haki ya kupata taarifa

    Licha ya umuhimu wa teknolojia katika kuongeza kupata taarifa na maarifa, serikali nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zimechukua hatua ambazo zinaathiri Uatikanaji wa Taarifa na uhuru wa kujieleza. Tanzania imepitisha sheria kama Sheria ya Huduma za Habari ya...
  11. RT-Russia , ingefaa sana isingefungiwa ili tujue kinachoendea huko Urusi

    Yeah ni kweli vita ni pande mbili , jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine ,maana nimeona mpaka Walimu, Madaktari, Mainjinia wa Ukraine wamejiunga na jeshi na wana being trained to be solders. Heko heko ni kwamba , ingekuwa ni vyema DUNIA...
  12. Maalumu kwa watumiaji wa Home Internet (Wi-Fi)

    Habari za muda huu wakuu? Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi? a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali...
  13. Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
  14. Katika ulimwengu huu wa digitali, ni utahira kukataa kuletewa Intaneti ya kasi ya juu kwa bei nafuu ya Elon Musk

    Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya tafiti, kufanya biashara, n.k. Ni muda sasa umepita ishu ya internet ya Elon Musk kuletwa bongo...
  15. Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

    Ilikua hivi πŸ‘‡ 1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days. sasa ni πŸ‘‡ MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/= Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha. Ila kwa...
  16. Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  17. Mitandao ya Simu inavyotuibia Bando za Intaneti

    Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa. Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G. Lakini haujamaliza Dk 5...
  18. Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
  19. P

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  20. The Internet is more of a necessity than a luxury. Why make it expensive then?

    The benefits of digital technologies are immense, ranging from higher incomes to improved quality of life and numerous political and cultural advantages compared to non-users. However, the digital divide remains a significant challenge, especially in developing countries with low access to ICTs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…