Muda mrefu nilikuwa sijaangalia TV, ila wiki hii nimeanza kuangalia, imecheki ITV siku kadhaa na hivi sasa naangalia mjadala wa bajeti.
Nilichogundua kuna mabadiliko makubwa sana kwa ITV ya sasa na ya miaka ile, yaani hata hawa wachambuzi wanaoitwa kuja kuchambua bajeti wote ni kumsifu tu...