jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamaa aliyeitwa kukata mti wa malipo ya Sh elfu 1, wamdondokea wakati wa kukata na kufariki Dunia

    Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Kleruu, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 54 amefariki Dunia baada ya kuangukiwa na mti. Tukio hilo limetokea katika Kijiji Cha Mulama katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, ambapo mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu aliitwa kwenda kuvuta...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliangaliaga zile videos zinazo trend za kibao kata na baikoko akadhania ni mambo ya kawaida na ya bure bure Tanzania 😁

    Amejionea mwenywe tunayopitia, kaomba poo😁
  4. JamiiForums Tanzania Kama kweli Godbless Lema amewauza Pambalu na Mwaipaya, basi huyu jamaa hafai kuwa MwanaCHADEMA ya sasa

    Taifa lipo kwenye kipindi ambacho wananchi wanahitaji ukombozi. Wamechoshwa kuibiwa mali zao za umma na wanaona kabisa CCM inaondolewa madarakani. Wasaliti kama Mbowe au Zitto Kabwe miaka ile ya nyuma hawana nafasi tena. Chadema wachukue hatua stahiki mapema dhidi ya huyu mnafiki.
  5. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  6. JamiiForums Tanzania Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiingia mahabusu jamaa wanakwambia ukaoge

    kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Nilivyomrudishia jamaa mali yake bila kuigusa

    Hiyo ni mwaka jana hiyo Ninafahamiana sana Angel toka 2020 hivi kwa nyakati tofauti nimekuwa ninafanya naye kazi. Kusema kweli Angel ni mzuri, ana umbo na kalio la maana, ogopa sana dada mwembamba mwenye kalio, anakuwa na shape tamu balaa. Wakati fulani nilikuwa namtamani sana, wakati fulani...
  9. JamiiForums Tanzania ManyJay_tz jamaa anavunja sana mbavu na video za AI 🦁 na 🐸

  10. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa siwawezi, wape neno, hata Hi!

    Kwa ubishi, uking'ang'anizi, usutaji siwawezi. Lakini msingi wao ni kukupa ukweli kama ulivyo. Shekhe Mwaipopo sijui yuko wapi?
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  12. JamiiForums Tanzania JF MSAADA KUHUSU UZI WA STORY ZA MAISHA YA MOSHA JAMAA ALIPATA ULEMAVU NAUTAFUTA MSAADA NIUPATE.

    Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu. Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi. Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini huyu jamaa aliitwa mzaramo?

    Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
  15. JamiiForums Tanzania Stori ya jamaa wa Nigeria, kuhusu mkewe yaliza watu

    Huyu jamaa ni Nigerian, kaoa mke mMoja, wamezaa mtoto mMoja, sasa jamaa alikua mahakamani katika kufatilia kumbe kashitaki mkewe sijajua anataka vunja ndoa au laaah. Stori Iko hivi, jamaa alikua anapambana kutafuta chakula na mahitaji ya mkewe na mtoto Kila mara, alijitahidi kuhemea mahitaji ya...
  16. JamiiForums Tanzania At some watu walikufa kikatili kwa ajili ya hawa jamaa. Siasa za kiafrika ni zimwi baya sanaaa

  17. JamiiForums Tanzania Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

    10: Kagera 9: Geita 8: Mara 7: Mwanza 6: Katavi 5: Tqbora 4: Simiyu 3: Shinyanga 2: Kigoma 1: Rukwa Maoni yangu 1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili. 2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao...
  18. JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  19. JamiiForums Tanzania JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

    Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…