Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi!
Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...