Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC maarufu kama Watoto wa Wakulima wa Korosho imepokea basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye uwezo...