Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni...