kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  2. UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  3. Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  4. Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. 👇 👇 👇 👇
  5. Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  6. Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako. Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali. 1...
  7. TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
  8. Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  9. R

    Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  10. Cozi ngapi za tofari zinafaa kusama kabla ya rinta kwa standard nzuri ya ujenzi!

    Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi. Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na...
  11. Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  12. DC Mwangwala: Familia zimegeuka na kuwa taasisi zinayojikita zaidi kwenye uchumi badala ya malezi

    Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, leo Oktoba 12, 2024 amezindua kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa wilayani Moshi, katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania (TPS). Akizungumza wakati wa...
  13. Kodi za Mapato: Kabla hatujawaza kuzidi kukamuana, tuangalie kuziba Pakacha

    Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea... Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly na kutokana na vyanzo vyetu na Tozo tunaweza kuendesha nchi hata bila Kodi ya Mapato; Nikitoa...
  14. W

    Huwa unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) kabla ya kukubali (Accept)?

    Sera ya faragha (Privacy Policy) ni maelezo ya kina kuhusu jinsi taarifa binafsi zinavyokusanywa, zinavyochakatwa, kutumika na kulindwa katika programu ya simu au tovuti husika. Wengi wetu hukubali sera za faragha bila kuzisoma, lakini n muhimu kupitia sera za faragha za tovuti na programu...
  15. W

    Kuwa makini kabla ya kutoa idhini kwa Programu Wezeshi kwa aina zote za maelezo inayoomba

    Kuruhusu programu kupata taarifa binafsi kama vile eneo, kamera, na namba za simu "Contacts" inaweza kuwa na madhara, kwani zinaweza kukusanya na kutumia taarifsa zako binafsi bila mtumiaji kujua au kutoa ridhaa. Pia inaweza kuongeza matumizi ya data na kupelekea chaji ya simu kuisha haraka...
  16. Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  17. U

    Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  18. D

    Pre GE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  19. Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  20. Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…