kampeni ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 CCM kabla hamjawatumia bodaboda kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2025 tunaomba mtoe takwimu za vifo vya bodaboda

    Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda. Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo. Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au...
  2. LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  3. LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  4. LGE2024 Diwani wa Kata ya Wazo Tungaraza: Ukiona wapizani wameshinda ujue ni mkawanyiko miongoni mwa wana CCM

    Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya. “Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...
  5. LGE2024 Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Serikali za Mitaa mkoa wa Dar

    LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb Global TV...
  6. R

    Pre GE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

    Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama. Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
  7. Pre GE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…