katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Je ni Nani ni mtenda dhambi ? katika hawa vijana watatu

    -kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima Je ni nani mtenda dhambi ?
  2. Noam Chomsky na Demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
  3. Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  4. Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  5. Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  6. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  7. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  8. Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  9. Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

    Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
  10. Lugha katika picha; Usinene ukamala

    Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea. Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya. Ikiwa imemzidi...
  11. Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  12. Siku zote Lissu hushinda katika ushindani mgumu

    1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...
  13. Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  14. Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  15. Eti mtu anaulizia validation ya Lissu katika chama. Are you serious?!!! This guy almost died kwa ajili ya chama!

    Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako. Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli utafikiri damu yake haikuwahi kumwagika kwa ajili ya mapambano yenu.
  16. “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  17. M

    Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea. Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka...
  18. RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  19. Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…