kigamboni

  1. Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  2. Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  3. D

    Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
  4. Ufisadi mradi wa NSSF Dege, Kigamboni

    Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza. Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli iliusimamisha baada ya kubaini kuwa kuna ufisadi mkubwa. Cha kushangaza CCM na...
  5. Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

    Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao. Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
  6. D

    Hongereni Tanroads, TARURA na DC Kigamboni kwa kukubali kutuondolea yale matuta pale mnadani

    Shukurani na pongezi ziwafikie Tanroads,Tarura na DC kigamboni kwa kukubali kuyaondoa Yale matuta mabaya pale mnadani! Uongozi ni kusikiliza, Tunawashukuru sana! Kama kutakuwa na ulazima sana wa tuta mahali pale, BASI YATUMIKE YALE MATUTA MAKUBWA MAPANA! Lakini kwa sasa Hall ni shwari kanisa...
  7. N

    Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  8. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  9. D

    TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

    Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed! Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto! Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo! Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye...
  10. INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

    Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
  11. A

    Natafuta chumba, sebule choo na jiko Kigamboni

    Habari ya wakati huu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥 Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi) Maeneo ni Kigamboni...
  12. S

    Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi za stationary na kiwandani. Elimu yangu Diploma ya HR. Nipo Kigamboni Mjimwema

    Natafuta Kazi ya secretary nina uzoefu wa kutumia computer. Pia nina uzoefu wa Kazi za stationary kwa miaka miwili.
  13. R

    Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele. Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
  14. K

    Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  15. Dar: Wakazi wa Nyumba za NSSF Kigamboni, watolewa kwa Mabavu

    Salaam Wakuu, Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma. Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
  16. Hongera sana TEMESA - Kigamboni

    Ni imani yangu sote tu wazima wa afya. Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...
  17. Hivi Kigamboni kuna machinjio?

    Wenyeji wa Kigamboni, hivi kuna machinjio Kigamboni? Au ni machinjio ipi iko karibu na Kigamboni?
  18. Plot4Sale Eneo linauzwa ekari 4. kigamboni

    Eneo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibuni sana .. 0785657273 mawasiliano.. bei ni 21,000,000/acre..
  19. Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

    Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
  20. S

    Plot4Sale Nunua kiwanja Kigamboni Buyuni

    Unapoweka Lengo au unapolielekea Lengo Ulilojiwekea na Ukaona Kuna Vikwazo Vingi Katika Kulifikia au Kulielekea Lengo Hilo Kamwe Usibadili Lengo Lako. Jambo Muhimu Ni Kubadili Njia , Mkakati au Mbinu za Kulifikia Au Kulielekea Lengo Hilo . NUNUA VIWANJA NA TRUST SOLUTION COMPANY LTD. TRUST...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…