kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kisa Cha kweli chenye utata wa kibaiolojia mapacha wawili mzungu na muafrika

    Mwaka 2022, nchini Brazil (mji wa Mineiros), binti mmoja wa miaka 19 alijifungua watoto wawili wa kiume waliotazamiwa kuwa mapacha wa kawaida. Watoto hao walikua kwa amani hadi walipofikisha umri wa miezi minane. Lakini kutokana na sura za watoto hao kuanza kutofautiana sana, mama huyo aliamua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE kimekataa kumsajili Mwanafunzi kisa hajalipa laki 8 huku mwisho wa kulipa ada ukiwa haujafika

    JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA? Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
  3. JamiiForums Tanzania Wasichana na bar wanaangalia nini. Leo wamenikwepa kisa siwapi tip

    Jamani wakuu Hapa ni chakali nimelewa. Ila nipo kistaarabu. Watoto hawanishobokei najua kwanini. Sitoi tip. Hapana sina mrembo hata mmoja. Tukiendeleankusikiliza Mwimbo wa Monika aliye Zambia. Nawaza kuna Fair kweli? ? Sijapoa Nasubiria.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ameamua kuachana na Chuo cha Maji kisa ‘mateso’ ya Mhadhiri anayemsimamia ‘Dissertation’

    Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mamkwe kutokuonekana (Riwaya)

    Bibi yake alikuwa akisema: "Kiti cha enzi humla aliyekikalia, polepole, kama mchwa wanavyokula mti wa mkorosho. Hujui hadi siku unapoanguka." Mamkwe alikuwa anacheka neno hilo akiwa msichana. Sasa, miaka thelathini baadaye, alilikumbuka akiwa amesimama dirishani Ikulu usiku wa tarehe mbili...
  7. JamiiForums Tanzania Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  8. JamiiForums Tanzania Hiki kisa cha ufufuo Sura ya Ng'ombe, Quran tukufu ni cha kusisimua sana.

    Surah Al-Baqarah (2:67–73) au kwa kibantu sura ya Ng'ombe ayat 2:67-73. Katika hii story ya Quran kulizuka mzozo katika kisa cha mauaji ambapo watu walibishina kuhusu mauaji ya mtu fulani. Musa akaambiwa achinje ng'ombe kisha alipomchinja akaambiwa achukue kipande kimoja cha nyama (sijui...
  9. JamiiForums Tanzania Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  10. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuachwa kisa kumtania mchumba

    kwema ndugu zangu? nilichokifahamu ni kuwa wanawake wanapenda sana utani na kutania, ila wao hawapendi kutaniwa... hawapendi kabisa. enzi nikiwa kijana mdogo nakumbuka niliachwa na mchuchu ambaye tulipendana... sababu kuu ilikuwa si kubwa sana... bali siku hiyo nilimtania na nikamkazia sana...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wake wanaobadili dini KISA mwanamke; mlishawajadili?!

    Leo Stend ya Kahama nimekutana na Samweli. Samweli alikuwa KKKT. Pale kijijini alihamia mzee mmoja wa Kilokole kanisa la Moses Kulola. Yule mzee alikuwa na watoto wazuri sana. Samweli akampenda mmoja. Wale mabinti walilelewa kwenye ukiristo hasa, hakuna kumchezea mpaka ndoa. Lakini Samweli...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilangalanga Sekondari, Walimu wanamnyima Mwanangu cheti kisa hajalipa 40,000 ambayo walimu walitaka walipwe kuwasimamia watoto kuingia prepo

    Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita Kilangalanga Sekondari, nikiri kuwa ni kweli mtoto wangu hakulipa hiyo fedha kiasi cha sh. 40,000 kama ambavyo walimu walitaka kila mtoto alipe fedha hiyo wakidai ni kwa ajili ya kuwasimamia wajisomee usiku wakati wa prepo. Walimu...
  13. JamiiForums Tanzania Watakapo tuacha tukichinjana kisa dini, wao watakuwa juu na helicopter wakisepa. KUWENI MAKINI WATANZANIA.

  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yathibitisha Kisa cha Kwanza cha Ebola Nairobi mtu mmoja afariki

    Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku Wizara ya Afya ikisema kisa hicho ni cha mtu aliyeingia nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  16. JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha panya wa Hanoi na mamilioni ya dola za Wafaransa. Wazungu walijiona mabwege wasio na akili kabisa.

    Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa kuwalipa wananchi kwa kila mkia wa panya walioleta! 🐀💥🇫🇷🇻🇳 Kisa hiki kilianza wakati wakoloni wa...
  18. JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua mtu akiyafanya ni haki yake kuuawa Bila kujali sheria za nchi au za dunia za wakati husika zinasemaje...
  19. JamiiForums Tanzania DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…