kiswahili

  1. Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
  2. J

    Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

    Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika Source BBC news
  3. Waziri Tabia Mwita afungua kongamano la saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)

    Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani) Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
  4. First Gentleman anaitwaje kwa Kiswahili?

    Rais akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
  5. Ukweli ni upi kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia?

    Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa. Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote. Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike? Kwa wale wanaotaka...
  6. Msaada: Tafsiri ya shairi zuri kutoka katika lugha ya kisukuma kuwa kiswahili

    Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please: Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du. Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali The DEDE legend: Sukuma tradition ""Lugano lwa DEDE, lwa kabili: Dede 1 Kimala...
  7. B

    Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  8. Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

    Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let us go = nenda nyumbani How! = Wapi sasa
  9. Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  10. S

    Makosa ya kuunganisha maneno katika lugha ya kiswahili

    Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni kama; Nakadhalika badala ya Na kadhalika. Halikadhalika badala ya Hali kadhalika. Kwanini badala ya...
  11. Waziri Dkt. Ndumbaro: Mikutano ya Kimataifa Inayofanyika Nchini ni Fursa Kukuza Kiswahili

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
  12. S

    Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  13. S

    Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  14. Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

    Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
  15. Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Mambo vipi bloggers Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili. Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
  16. Movies za kizungu, kichina, kihindi, kifilipino zilizowekwa kiswahili ni mizinguo

    Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu. Angalau waweke subtitles.
  17. Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

    Am so proud of my language Kiswahili. We must promote kiswahili . Kiswahili the language of Africa.
  18. Wajuvi wa kiswahili, maana ya neno "bosheni" ni nini?

    Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
  19. Kiswahili cha bbc baada ya Zuhura Yunus & Salim Kikeke kuondoka

    Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
  20. C

    Msaada kupata hii tamthilia ya Kiswahili

    Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…