Mada pendwa kwa wanaume!
Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi ya magonjwa, kazi, mazoezi, tabia, vyakula na vinywaji
Kula chips- weka za kushiba na kila kitu...