habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme...