kombe la shirikisho afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

    Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni: Simba SC...
  2. Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

    Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao. "Katika malengo yetu msimu huu moja ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…