kombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  2. Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv

    Wanaukumbi. Baada ya Israel kumuuwa kiongozi wa Hezbollah wanadhani vitu vimeisha ndiyo kwanza kuna zaidi ya makombora 1000.0000 hayajagushwa. Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv Waisraeli waliamini kuwa wameivunja moyo Hezbollah kwa...
  3. Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  4. Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua

    Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua Waisrael zaidi ya milioni 2 wakimbilia mashimoni BREAKING: [emoji1267][emoji1134] Yemen confirmed that they used a hypersonic ballistic missile in the attack on Tel Aviv Yemeni Armed Forces says it hit an Israeli...
  5. Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

    BREAKING: 🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv. Lengo lilionekana kuwa kituo cha nguvu cha 'Gezer', kilomita 6 kutoka uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
  6. Ukraine yafanikiwa kutengeneza kombora la masafa marefu, Ukipitia magumu akili inatanuka:

    Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi. Ukraine inajulikana kuwa na angalau kombora moja la masafa mafupi, Hrim-2, ambalo lipo katika hatua...
  7. Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

    Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel. Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja. Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
  8. UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11. Katika ripoti yao ya...
  9. Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  10. Specialist wa Russia walichambua kombora la Uingereza - Storm Shadow

    Kombora la Storm Shadow linalotumiwa na Ukraine Kushambulia Russia, hatimaye limedakwa zimazima Sasa lipo maabara likichambuliwa kama samaki,, hapo ndio kwisha habari yake kama HIMARS Russia akishalisoma analitengenezea jamming yake ukilituma analirudisha lilikotoka nakulipua. Russian...
  11. Houth nao sasa hawashikiki. Meli zawaka moto na nyengine yazama. Saudia waachia kombora liende mpaka Eliot

    Kila siku zinavyokwenda mashambulizi ya Houth dhidi ya Israel na washirika wake yanazidi kupamba moto. Hali hiyo inaongeza mashaka juu ya uwezo na athari ya yale mashambulio ya kila mara yanayofanywa na meli za kivita za Marekani na Uiengereza. Meli kubwa ya mizigo iliyopigwa Jumatatu...
  12. Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  13. Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

    Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza. Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo...
  14. Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  15. Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  16. Jenerali wa Urusi auawa kwa shambulizi la kombora la Ukraine

    Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine. A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow missiles, according to multiple reports from both sides. Lieutenant General Oleg Tsokov was among the...
  17. S

    Je, ni kweli kombora la nuclear halizuiliki?

    Hi guys 🙂 Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani. Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno). Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga...
  18. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  19. Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  20. Urusi yarusha kombora lililoongezwa utaalamu

    Urusi imefanya kile ilichosema kuwa ni jaribio la mafanikio la kurusha kombora la "mabara" la balestiki, wiki kadhaa baada ya kusimamisha ushiriki wake katika mkataba wake wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia na Marekani. ==== Russia has conducted what it said was the successful test...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…