Salalee,
Malikia cute ni habari ya Dunia, ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Filauni, yaani Malkia cute anafaa kwa pigo zote daima mbele nyuma mwiko na, habari ya mjini usikose nyama, na mayai hutokea nyuma kwa kuku.
Tuseme ukweli Malkia cute ni ameleta taharuki sana kwa ufungasho huo...