kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Katibu Mkuu wa NLD Doyo Hassan atangaza nia ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini. Kupata...
  2. CCM Shinyanga yawataka Wazazi kuepuka Mahusiano ya Kimapenzi na Vijana wadogo

    Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu vijana na kuwadhalilisha wazazi wenyewe. Akizungumza leo, Machi 14, 2025 katika ziara ya kukagua uhai...
  3. Pre GE2025 Taswira ya waziri Bashe nje na ndani ya Nzega ni tofauti sana na ujuavyo

    Copy and paste Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao. Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira ya wayahudi (wana wa Israel), taswira ya uchapa kazi na ushujaa dhidi ya mafisadi, kwa wakati huo wa...
  4. Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula

    Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula. Pamoja na hayo, kwa miaka yote hiyo Mkoa huu haukubahatika kuwa na usafiri wa anga wa uhakika, kutoka na kutokuwa na Uwanja wa Ndege unaokidhi vigezo. Ni Rais wa Awamu ya Sita Mhe...
  5. I

    Pre GE2025 Kugawa Majimbo ya Uchaguzi Nchini Tanzania Maslahi ya Umma au Wanasiasa?

    Kugawa Majimbo ya Uchaguzi Nchini Tanzania Maslahi ya Umma au Wanasiasa? ➠Kugawa majimbo ya uchaguzi ni mchakato muhimu katika kuhakikisha uwakilishi sawa na ufanisi katika mifumo ya kidemokrasia. Hivi karibuni, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilitangaza kuanza mchakato wa kuchunguza na...
  6. Pre GE2025 Lema: CCM hamtatuzuia kwenye kusudi ambalo lipo mbele yetu (Tone tone)

    CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa Updates... Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa...
  7. Pre GE2025 TCRA yataka Vyombo vya Habari kuripotiwa uchaguzi bila upendeleo

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika kuripotiwa habari bila upendeleo ili kuondoa malalamiko. Meneja wa Kitengo cha Utangazaji TCRA...
  8. Pre GE2025 Kamati ya Bunge yaridhishwa na ujenzi wa bwawa Uyui; Wizara ya maji yapongezwa

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson kiswaga imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Kizengi wilaya ya Uyui mkoani Tabora . Kwaniaba ya kamati hiyo Mwenyekiti wa kamati Mhe kiswaga amesema wameridhishwa na Ujenzi wa Mradi huo na...
  9. Pre GE2025 Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa wa Geita yapitisha mgawanyo wa Majimbo ya Chato na Busanda kwa maendeleo

    KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  10. CHADEMA yatambulisha sare mpya ya Chama nchini Marekani

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani. Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa Chadema wenye nembo ya STRONGER TOGETHER umetengenezwa Nchi humo kwa quality za Kinyamwezi...
  11. Mungu muumba mbingu na nchi. Nyie ambao mnamtukuza sana Rais Samia jiangalieni

    Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia. Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo . Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu...
  12. Pre GE2025 Hivi CHADEMA zaidi ya kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, inaweza kufanya nini cha maana zaidi?

    Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija au ya maana kisheria au kisiasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ispokua binafsi ya viongozi...
  13. Pre GE2025 Wamama CCM wamtandikia vitenge Stephen Wasira asiguse vumbi wakimpokea Vwawa, Songwe

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  14. Pre GE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  15. Pre GE2025 Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Abdul Mluya: DP tutashiriki uchaguzi mkuu 2025

    “DP tutashiriki uchaguzi na sasa tumeshatoa kalenda na tutakuwa na Mkutano Mkuu wetu tarehe 10/6/2025 na tutaufanya Morogoro. Maana hata Mkutano Mkuu wa uchaguzi mwaka juzi tuliufanya Mogororo,” Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Abdul Mluya. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  16. Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Wananchi wa Kata ya Kibingo acheni tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani na badala yake waendelee kuiunga mkono CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  17. Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma awahimiza Vijana kujitokeza kugombea na kupiga Kura

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  18. Pre GE2025 Mbunge Gulamali apendekeza moja Shule Nzega Vijijini ipewe jina la Dkt. Kigwangala

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  19. Pre GE2025 Wassira pumzi imekata Hoiiiiiii! ataweza heka heka za Kampeni kweli?

    Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu Wassira... Ukimtafuta kwa sasa unamwona tayari ameshachoka pumzi imekata. imekata mapema sana. Mzee ataweza...
  20. Pre GE2025 Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Ludewa lapitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa kuwa Mawili

    Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza huduma kwa wananchi kwa urahisi zaidi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya mnamo Februari 2,2025 Tume Huru ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…