Nimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti nzima.
Ripoti huijui, hujaisoma umeiona tu imefungwa kwenye gift wraps, kwanza umeambiwa ripoti...