Salaam alaikum,
Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake.
Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...