kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je Mwanamke anajua kutumia pesa kuliko mwanaume

    Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
  2. Jambo lililopotoshwa sana, kuliko mengine

    CHUKIZO LA UHARIBIFU NI UTENDAJI WA MAMLAKA YA KIBINADAMU KUPINGA AMRI NA MAMLAKA YA MUNGU Unabii wa utendaji wa Chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli umeandikwa katika Danieli 7, 8 na 9. Ni vipindi vitabu tofauti tofauti vya kihistoria ambavyo kanisa la Mungu lingelikabiliwa ma...
  3. Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  4. Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  5. I

    Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

    Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni...
  6. Ulinzi wa kufuli umekaa zaidi kisaikolojia kuliko uhalisia

    Katika vitu tumepigwa ni kufuli yaani kuliamini kufuli kwamba linalinda ni chai mchana kweupe ni ulinzi wa kizamani mno.kwanza kidude kinacholock ni kidogo sana yaani hata likipigwa na nondo linajifungua.pili kuna master key inafungua lock nyingi tu kwa hivyo padlocks sio kitu cha kukiamini hata...
  7. M

    Pamoja na Madhaifu yake, Rais Samia kakomaa Kidoplomasia ya Kinataifa kuliko Magufuli.

    Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger. Ushindi wa...
  8. L

    China yazalisha bidhaa za matumizi ya nishati ya jua kuliko nchi zote duniani kwa pamoja

    Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
  9. Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  10. Boda ya Tunduma ipo busy kuliko boda zote Afrika Mashariki

    "70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni fursa kwa mwekezaji" - @Davidkafulila0 Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta...
  11. Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita, tukijitahidi sana nafasi ya 7

    Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
  12. Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

    Heshima sana wanajamvi, Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama. Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake. Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !. Mfano unaulizwa na...
  13. Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  14. Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  15. M

    Ifahamu familia ya The Imafidon yenye asili ya Nigeria iishiyo Uingereza.. Ni familia smart kichwani kuliko muingereza yeyote

    The Imafidons are a Nigerian family of 7 living in England. Their father is Chris Imafidon and their mother is Ann Imafidon. Both parents are from Edo state who emigrated to England more than 30 years ago. They have 5 very intelligent children between them. The family has achieved exceptional...
  16. Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

    Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo. Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
  17. Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
  18. E

    Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

    Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la
  19. R

    JF Great Thinkers, mjadala JF ungelikuwa kwanini kamtoa huyu, ame mess up wapi/weakness na huyu aliyeletwa strengths zake ni zipi kuliko aliyetolewa

    Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa...
  20. Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji. Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…