WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME.
Anaandika, Robert Heriel.
Taikon Master.
Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini.
Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...