Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013.
1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan.
2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania.
3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia.
4. Kuhama hama kwa wanyama...