Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...