Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016.
Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...