madogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hizi videos za madogo wa form four zinafurahisha kama sio wadogo zako au watoto wako

    Alafu ikukute wewe ni masikini , aisee utachapiwa nyumba nzima, mke, mtoto wako mwenye divsheni 4, mdogo wa mke wako,etc unakuta hadi boda boda wamewatungia majina tayari maana wamegawana familia yako😁, utasikia binti yako anaitwa "aisha sarakasi" Aisee Eli Cohen secretarybird Kinyungu Harmful
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maono madogo, maendeleo madogo: kwa nini tuko nyuma kiteknolojia?

    Moja ya sababu zinazoweza kuchangia nchi yetu kubaki nyuma kiteknolojia ni namna tunavyoweka malengo yetu. Tumekuwa tukijiwekea malengo madogo, huku malengo makubwa ya kiteknolojia yakionekana kuwa magumu au yasiyowezekana kuyafikia. Mwisho wa siku, tunajikuta tukipata matokeo madogo kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Naongea na madogo wapenda bata

    Kuna madogo wapenda bata , sasa umetoka zako huko , umekuja night club na demu wako ,kama mnavyosema🤔 Sasa umetua viwanja ukakutana na wanyamwezi wa viwanja , hako ka demu kako kakashoboka kwa mnyama mbele yako ,acha kutia hasira na kuvimbia misuli ya kipumbavu. Utapigwa bastola ya tako...
  4. JamiiForums Tanzania jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Man U wanawaonea Hawa Madogo wa Azerbaijan!

    Wanajibondea tu magoli. Team Haina mfungaji, goli Nne kila goli na mfungaji wake.
  6. JamiiForums Tanzania Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  7. JamiiForums Tanzania MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

    Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa. Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up. Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo; 1.UTI...
  8. JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  9. JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
  10. JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Wanawake ni wajanja sana. Wanawake wanajua kupangilia namna ya kuonwa. Kuanzia make up , nguo lakini pia watu atakao hang nao popote watakapo enda.
  11. JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana. Nilichojilaumu ni mimi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Wakongwe tumekuja kuwaonyesha madogo jinsi ya kufanya

    Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa tupeni dira madogo zenu

    Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu tunaomba mtupe mawaidha madogo zenu nini tufanye na nini tuache ili tufikie na sisi level zenu, maana...
  15. JamiiForums Tanzania Mtindo wa maisha, na makosa madogo madogo tunayofanya

    Habari jamiiforum. Hii ni Kwa watu wazima 40+ Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua. Mbaya zaidi tunaona ni kawaida. Na ni ngumu mtu kukwambia ukweli 1.Vitu tunavyopost kwenye social network. Kuna watu wanaweka status huko WhatsApp...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Bima za afya za watumishi wanyonge NHIF standard hazilipii gharama nyingi za matibabu zaidi ya matibabu madogo madogo tu

    BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF. Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY.. nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
  17. JamiiForums Tanzania MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

    Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
  19. JamiiForums Tanzania hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Marekebisho madogo ya tatizo la kiufundi yanayoweza kuangaliwa na kufanyiwa kazi hapa jamiiforums

    Habari zenu wanajamii, Problem Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…