Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda...