Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala?
Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?