malalamiko

  1. India: 'Service charge' zapigwa marufuku hotelini kufuatia malalamiko ya wateja kulazimishwa kulipa

    Mamlaka yenye dhamana ya kulinda Watumiaji Nchini humo imepiga marufuku Hoteli na Migahawa kuwatoza Wateja Gharama za Huduma (Service Charge) baada ya malalamiko ya wateja kulazimishwa kulipa kuongezeka Inaelezwa kuwa, Migahawa mara nyingi huongeza 5% hadi 15% kwa Malipo ya Mteja. Mbali na...
  2. Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  3. R

    Wingi wa nyuzi(Threads) za malalamiko kutoka CCM chanzo ni nini?

    Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala. Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za hapa JFs zenye mwelekeo wa malalamiko kila kukicha hivi karibuni. Wanaccm hasa wale wa ccm mpya (CCM...
  4. Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na Voda!

    Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu. Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa. Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...
  5. Watumishi wa Umma: Sehemu Sahihi ya Kupeleka Malalamiko Ukifutwa Kazi

    Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate Candidate) MATERIAL FACTS (STORI YA KESI): -Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
  6. Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  7. Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  8. Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
  9. B

    Malalamiko ya Wabunge Baada ya Tume ya Watumishi wa Umna (SRC) Kupunguza Mapato yao

    14 May 2022 Malalamiko Ya Wabunge Baada Ya SRC Kupunguza Mapato Yao Ikiwemo Posho Za Vikao Vya Bunge kufutwa WABUNGE wamelalamikia hatua ya Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu ya Watumishi wa Umma (SRC) kuondoa au kupunguza marupurupu ambayo wamekuwa wakipokea. Aidha, wamekerwa na hatua...
  10. Je, hukumu ya Sabaya imetolewa ili kuzima malalamiko ya mamilioni ya Watanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta?

    Najua kuwa hii hukumu imekuja ghafla, kwa kuwa wananchi walikuwa wameshatangaziwa hapo kabla kuwa hukumu hiyo ya rufaa, ilikuwa imepangwa kutolewa tarehe 31 mwezi huu. Sasa ninachojiuliza, ni kitu gani kilichofanya Mahakama irudishe nyuma,na kutoa hukumu, kabla ya tarehe ambayo ilikuwa...
  11. Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
  12. N

    Pamoja na kuwapokea airport na kuwapa korosho waaaapi ni malalamiko tu

    Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri kwamba wachukue hotel karibu na mjini wao wakaamua kwenda Ramada kilomita za kutosha toka kwa mkapa...
  13. M

    Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

    "Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
  14. Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

    Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA. ========= Ameandika Muigizaji Batuli Hivi Kuna Mtu Mwingine...
  15. B

    Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
  16. Shaffih Dauda ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, malalamiko angepeleka TFF

    Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni. Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa...
  17. Malalamiko: TTCL makato ya Bundle zenu ni kiboko

    Ukinunua kifurushi cha G1 hawa jamaa wana fyeka mbayaaa yaan Mbs hazidumu kabisaaa
  18. Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
  19. Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

    1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza...
  20. E

    Malalamiko ya Wanafunzi wa Kada ya Afya kuhusu Mitihani ya 'Supplementary'

    Habari, Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa. Shida imekuja hivi matokeo yalivyotoka wanafunzi waliofeli ni wengi kuliko walio faulu na pia wanafunzi wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…