mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke mwenye akili kama Mange Kimambi

    Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo. Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo.. Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki.. Alicho...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natamani Tundu Lissu apate clip ya Mange akimjibu Lema. Itamtia moyo sana Mange yuko vizuri sana kichwani

    Huyu dada anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu, lakini yuko vizuri sana kichwani. Ukisikiliza majibu yake kuhusu matamshi ya Lema, utanielewa na ninahakika hata Lissu yatamfariji na kumtia moyo wa kupambana zaidi. Inawzekana Lema amekata tamaa na kutafuta short cut akamini atamsaidia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lema hamuwezi Mange, amejimaliza kisiasa

    Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hamuwezi na ashajimaliza kisiaasa.
  4. JamiiForums Tanzania Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

    Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...! Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene. N.B: Canada voted vs cuba blockade!! KWA...
  5. JamiiForums Tanzania Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari...
  6. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  7. JamiiForums Tanzania Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa Lema kufukuzwa CHADEMA baada ya Kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kumtaja rasmi kama msaliti

    Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake. Mimi siungi mkono vurugu wala...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  10. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

    Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
  11. JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Mwigulu kufukuzwa inakuja Nchimbi nyumba yake kuzingirwa Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo, Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ?? Nimekaa kimya week kadhaa...
  12. JamiiForums Tanzania Tushtuane hio saa moja kamili usiku sijui mange anatka kusema nini

  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunamsubiri Mange Kimambi kulaani hili tukio

  14. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wamefanya zaidi ya Tulia na Makinda

    Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi. Kumbe sio lazima uwe mwanasiasa kuweka kuleta mabadiliko na misukomo ya kimaendeleo na demokrasia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  16. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na kutaka kila trend iwe yake

    Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza kuwashambulia. Nakumbuka Wema Sepetu alipata mtoto, Mange alimpinga hadi kufikia kutaka mtoto huyo apewe...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Mange ashawahi kujiuliza kwa nini Mungu alimpa kigugumizi?

    https://x.com/_zack255/status/2105896127283200170
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mange anavyoshauri watu waanze kudondosha vikaratasi barabarani yupo tayari kwa mafuriko ya vikaratasi vinavyoipongeza serikali, ccm na viongozi ?

  19. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…