matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    IGP Wambura umechelewa mno Kuliamua hili kwani 99% yao ni 'Matajiri' pengine hata Kukuzidi Wewe 'Boss' Wao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi...
  2. Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu ! Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri. Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi...
  3. M

    99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

    Hakuna Chawa wa Kiongozi, Bosi, Tajiri au Mtu maarufu yoyote asiyezunguka kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga ili asitoswe na awe anapiga Pesa za Bwerere.
  4. Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

    Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo. Familiya ya Glazer, ambao ndio wa miliki wa klabu hiyo wanataka kuiuza kablu hiyo katikati mwa mwezi huu wa February. Mtandao...
  5. R

    Nini haki ya mtoto pale makazi ya wazazi wao yanapobomolewa na Serikali?

    Serikali inapoamua kuchukua hatua dhidi ya masikini iweke usawa kama wanavyochukua Kwa matajiri. Tanzania hakuna tajiri anayekaa mahabusu, hakuna tajiri anayesota mahakamani, hakuna tajiri anayebomolewa nyumba Bila taratibu Kwa Sababu atadai fidia...Ila masikini Hadi huruma. Na pale tajiri...
  6. Hivi huyu jamaa anajiita Chief Godlove kwani hakuna sheria inayokataza kutukana mitandaoni? Yeye Kila siku Ni kutukana watu wasio matajiri

    Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
  7. K

    Tutengeneze matajiri wetu sisi wenyewe kwa makusudi kabisa

    Habari ndugu zangu, Naishauri serikali iweke vipaumbele vya kutengeneza matajiri wazawa weusi wenye asili ya ndani ya nchi tokea enzi za mababu. Mfano kama kwa Nigeria alivo Aliko Dangete,au hapa kwetu the Late Reginald Mengi. Hii Ina maana kubwa sana kwa nchi. Leo hii tajiri namba moja...
  8. DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

    Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo. Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi. Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
  9. Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

    Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia. Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana. Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa...
  10. Watu 10 matajiri zaidi Duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022. Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
  11. Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  12. Kipa Siku zote tu yuko jirani na Manara na Matajiri wa Salamander Posta mnategemea asituumize Kimakusudi?

    Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena naweza hata kuwa ni Kinara. Kazi Kubwa anayoijua na kuiweza ni Kumroga tu Kipa Mwenzake kwa Mganga...
  13. Masikini wanaishi maisha ghali kuliko matajiri

    Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500. Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa...
  14. Nisaidie kifupi cha hiki chama: Chama Cha Matajiri na Masikini

    Asalaam! Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha Matajiri na Masikini. Ni hayo tu natanguliza shukrani Wadiz.
  15. Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  16. Tajiri mwingine wa Urusi afa, matajiri wa Urusi wako taabani, wanawindwa

    Wanauawa kwa vifo vya kutatanisha... Dmitry Zelenov, a Russian real estate tycoon, died while visiting friends in Antibes, a coastal city in France. According to French newspaper Var Matin, Mr Zelenov died after tumbling from a flight of stairs on December 9. He was having dinner with friends...
  17. Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  18. Hii timu si ya wananchi bali ni ya Matajiri!!

    Wananchi hawasajili wala hawachangishani fedha za kusajili. wanaosajili ni mtajiri. Ila wananchi bado wanasema timu ni yao Wananchi hawatoi hela za kuendeshea Klab, mitaani wanajisifu timu ni yao. Wananchi hawajui hata Jezi wanazovaa mitaani zimeiingizia Klab shilingi ngapi, ila matajiri...
  19. Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  20. Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…