Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo...