Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...