Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...