miaka 7

Fushigi Yûgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

    Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu. Kwa miaka minne...
  2. W

    Maaskofu wapinga Pendekezo la kuongeza muda wa Urais hadi miaka 7

    Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024 Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
  3. Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  4. Viongozi wa dini wampinga Rutto kujiongezea muda wa urais uwe miaka 7

    Hii hatari tuiepuke, wenzetu wamenogewa, wanataka kujiongezea muda wa urais na ubunge kwa miaka saba! Idumu katiba ya 1977.
  5. Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  6. Makusanyo yaliyokusanywa na Mamlaka ya Mapato TRA kwa mwezi Julai katika kipindi cha miaka 6(2018/19 - 2024/25)

    Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7 2018/19: Tsh. Trilioni 1.20 2019/20: Tsh. Trilioni 1.26 2020/21: Tsh. Trilioni 1.29 2021/22: Tsh. Trilioni 1.54 2022/23: Tsh. Trilioni 1.76 2023/24: Tsh. Trilioni 1.94 2024/25: Tsh. Trilioni 2.34
  7. Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  8. Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  9. Mbagala Dar - Mwanafunzi wa Miaka 7 auawa, mwili wake wakutwa msitu wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la kuuwawa kwa mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi Kibonde maji B, Mbagala na mwili wake kukutwa tarehe 13 Machi, 2024 kwenye msitu wa Jeshi karibu na Shule aliyokuwa anasoma. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
  10. Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  11. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji - TACAIDS asema “Tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI”

    Kutoka Morogoro, Viwanja vya Shule ya Moro Sec katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, ITV imezungumza na Dk. Jerome Kamwela ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS anasema: "Kama tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI, maana yake kati ya leo mpaka 2030 miaka 7 tu imebaki, maana yake...
  12. A

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  13. Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

    Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani. Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
  14. Aliyeteuliwa kuwa Waziri wa michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliwahi kufungiwa miaka 7 kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi na TFF kwa kukiuka kanuni

    Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji. Moja ya Watu walioguswa na hii Reshuffling yumo Mheshimiwa Dr Damas Ndumbaro. Tujikumbushe Mwaka 2014 akiwa Mwenyekiti wa Kamati...
  15. Ali Bananga: Rais Samia amebakiza miaka 7, anatoa darasa kwa kiongozi ajaye

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu. “Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza...
  16. Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  17. Wakili afungwa miaka 7 kwa kumuua Mpenzi wake

    Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe. Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana...
  18. Mkoa wa Kumamoto nchini Japani waadhimisha miaka 7 tangu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili la ardhi

    Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
  19. Mwanza: Mzee wa miaka 50 atuhumiwa kumbaka binti wa miaka 7

    Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake. Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
  20. Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa. Hadithi yake ya nyuma ipo hivi " Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili. Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…