Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara...