Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...