Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

Watu wa Arusha wametumika Kama Daraja tu kumpitisha uyo jamaa, Kwasasa wataona Bora hata Mrisho Gambo alikuwa anapita mitaani, Arusha panaenda Kuwa abandoned for these 5 yes Tena Kwa vile Mlikuwa sehemu ya Vurugu 29 mjiandae tu kusahaulika kabisa
 
Sasa hivi arusha imekuwa kama jalala, mji mchafu, disorganized, wamachinga kila mahali, wamama wachoma mihogo na mahindi wapo hadi kwenye lami, na ukizingatia sasa hivi hawana kituo cha vi hiace(daladala) basi vinapaki popote pale, hata katikati ya main road wanapaki tu, arusha hakuna viongozi labisa! Bora nirudi zangu kisaki.
 
Hakuna aliyetunufaisha kwanza nakereka sana kwann tutumie uwanja wa ndege kule Moshi wameshindwa kutujengea yaan kutoka kia had Arusha mjini ni safar ingine aiseee
Hata stand ya daladala hakuna sikuhizi ilikua pale kilombero ghafra wamezuia mji umejaa vuruguru ya machinga Kila kona
 
Back
Top Bottom