Bado tunamsubiri Schwarzenegger!Mlimchagua kwa mbwembwe..
Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
Ni siri yetu na mbunge wetu!😁Anakuja kufanya nini?
Kwani walimchagua hao watu wa Arusha, au alitangazwa mshindi na tume ya Ccm? Yeye mwenyewe Makonda anajua kabisa watu wa Arusha hawajamchagua maana ile voters turn out aliiona.Mlimchagua kwa mbwembwe..
Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
Kutunisha misuliAnakuja kufanya nini?
Hiyo ni kweli kabisa, arusha imekuwa ya hovyo kuliko wakati wowote.Kitu ya arusha inalika mbele police tofauti na zamani.
Wanasubiri awapelekee Schwaznigger siku ya Mkesha wa Mwaka Mpya;👋🏽Mlimchagua kwa mbwembwe..
Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?