Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia.
Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web.
Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...