Habari wana jf ,
Kwa anayejua anaweza kunisaidia,. Kuna mtoto wa dada yangu ni mtoto wa kiume kafikisha miezi 5 sasa .
Lakini amekataa kukaa, ukijaribu kumkalisha kwa njia mbali mbali lakini amekuwa akilia sana ,na kukataa kukaa yeye analala tu
Kwa anayejua matatizo ayo yanaweza kuwa endelevu...