Kitabu nilichotumia A level Physics ni hiki hapa, na tulikimaliza chote ndani ya miaka miwili. Ninatafuta kitabu cha Physics A level kinachotumiwa leo sijafanikiwa kukipata; mwenye kopi yake anisaidie. Ninajua kuna topics ambazo zimeshiptwa na wakati, kwa mfano zile za Cathode Rays na Thermionic...