Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa maisha ya baadae mfano miaka tuliyosoma kifaa cha bunsen burner kilikuwa ishu sana na siku hiyo mpaka mwalimu anawaandaa kwenda kuona moto unavyowaka.Ila kwa leo kuna majiko ya gesi yamejazana mpaka yana tulipukia majumbani.
Embu fikiria leo dunia inafundisha Quantum physics,AI,Advance techonology kwenye elimu kuanzia primary mpaka vyuo.
Kuna siku hapa tz tutawekewa mtaala wa somo la CCM.