Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
HeheheNdo nyie mafundi mliokalili gari za manual toyota mnasingizia nissan gari mbovu kumbe mfahamu kuwa gari za sasa zina umeme toka ethiopia alisikika samia
HeheheNdo nyie mafundi mliokalili gari za manual toyota mnasingizia nissan gari mbovu kumbe mfahamu kuwa gari za sasa zina umeme toka ethiopia alisikika samia
HIzo code kama hazileti hela mezani ni sawa na English Course tuKama unapesa peleka mbele yani hapa mtoto ananivua nguo anagonga code mpaka naogopa.
Umeambiwa Max amesomea kutengeneza JF akiwa form two?Sasa hii JF ungewezaje kujibu hoja kama max angetengeneza hii forum
Tega nikutege.Kitendawili tegaaaaaaaaaa😀😀😀
Kumanishaa nn
Na Filter Funnel....Lazima ujue kuchora test tube laa sivyo unafeli chemistry
Hivi unavyotumia unazani vimetoka kwenye akili zako za mkaa.Tuanzie unavyotumia mpaka hapa JF mpaka unafurahi kasi ya 5G imeotwa hiyoElimu ni Ile ya kukusaidiana kukabiliana na na mazingira yako,hiyo quantum physics inakusaidia kuvhoma mkaa?
Elimu yetu ipo bado 194x huko...Tuna hitaji seriousness kuvuka hapaLeo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa maisha ya baadae mfano miaka tuliyosoma kifaa cha bunsen burner kilikuwa ishu sana na siku hiyo mpaka mwalimu anawaandaa kwenda kuona moto unavyowaka.Ila kwa leo kuna majiko ya gesi yamejazana mpaka yana tulipukia majumbani.
Embu fikiria leo dunia inafundisha Quantum physics,AI,Advance techonology kwenye elimu kuanzia primary mpaka vyuo.
Kuna siku hapa tz tutawekewa mtaala wa somo la CCM.
Sina pesa mkuu.Kama unapesa peleka mbele yani hapa mtoto ananivua nguo anagonga code mpaka naogopa.
Inabidi kupigwa msasa kwanza maana mazingira ya elimu ya kule kukubariana nayo.Sina pesa mkuu.
Pia, nimeuliza endapo sasa mzazi mwenye pesa akaamua kumpeleka huko majuu ama akapata Scholarship. Je, akifika atapigwa msasa kwanza kabla ya kuwajoin wenzake ama inakuwaje?
India ukienda kusomea uhasibu unajikuta mpaka unaelewa IT vibaya mno.Possibly!
Kuna jamaa mmoja ni technician katika moja ya hosp.kubwa ya Serikali. Na kwasasa ndiye mtaalamu pekee mwenye ujuzi wa kutumia na kuinterpret taarifa ya vipimo.
Nilipata muda wa kubadilishana nae mawili matatu kuhusu elimu yake, akadai alivyokwenda nje kusoma, walimu wake walimshangaa maana waliona ni sifuri kabisa. Ikabidi atengwe, wakaanza nae from the scratch. Yaani kama mtoto anavyoanza kufundishwa ABC.