Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni.
- Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari...