mungu

  1. G

    Ni mwaka wa tano sijaenda kanisani ila nasali na kusaidia watu naowambea Mungu awasaidie, Kanisani nitarudi iwe kama sehemu ya kusocialize zaidi

    Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
  2. Wasioamini Mungu inawahusu

    Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc Wenye akili tu wataelewa
  3. Tunatoka mbali na Mungu huinua

    Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa. Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi. Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia. Mungu ni mwema, tuendeleze mapambano; kwa wale mliofanikiwa zaidi Mungu azidi kuwapandisha, kwa wale...
  4. Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

  5. M

    Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

    ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI ๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—˜๐—›๐—˜ ๐Ÿด ๐—ฆ๐—˜๐—ฃ. ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—˜๐—” ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ข๐—ง๐—˜๐—ž๐—ช๐—”. Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza...
  6. Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
  7. K

    Pre GE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.๐Ÿ‘‡ "โ€ฆsikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  8. Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  9. M

    Yesu ni Mungu hilo halina ubishi

    Inakuwaje wanajamvi! Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako. Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu. JESUS FIRST JESUS FOREVER JESUS IS GOD HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
  10. D

    We amini Mungu yupo tu inatosha. Ona yule kiboko ya wachawi anavyowacheka watanzania kuwa ni mazezeta

    Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
  11. OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  12. Wanasubiri ufe wakuite mtu wa Mungu

    WATUMISHI WA MUNGU TUACHE UNAFIKI ACHENI SIFA ZAKIJINGA MTU AKIWA AMEKUFA "usiku wa leo nimejikuta kwenye dimbwi kubwa sana la mawazo nikiwaza sana kuhusu maisha yetu ya hapa duniani nimefikilia sana kwamba ipo siku namimi Emmanuel Michael Mwasongwe nitakufa ni swala la mda tu ila...
  13. M

    Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  14. Kama umeielewa hii picha ndani ya sec 3, haraka mrudie Mungu wako!

  15. D

    Hivi kwanini harakati za kumjua Mungu kupitia Ukristo na Uislamu zimeambatana na vurugu na mateso yasiyoisha?!

    Habarini! Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu๐Ÿ™๐Ÿ™ Kama kichwa Cha habari...
  16. Swali la siku by Mpaji Mungu

    Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu. Ms R jibu hilo swali๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Nina box la zawadi yako hapa au tukupe mji?
  17. U

    Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  18. Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

    Shalom wanajf , Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina . KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU? LUKA 17, 20-21 "Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa...
  19. Nenda kokote uendako! Kipimo cha akili na utimamu wa mtu lazima akili na kuthibitisha kwa vitendo kuwa kuna Mungu

    Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu! Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
  20. Mungu wa Haki sio wa Kucheza nae Awadhi H Aulize alipo Jecha Jecha yule Unguja kwa Sasa

    Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela. Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba. Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ