natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  2. Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  3. S

    Natafuta mchumba ,awe na sifa ya kike haswa na awe anaishi dar .

    Umri wangu 32 Dini muislamu. makazi dar natafuta mchumba awe anaishi dar ,awe na sifa ya kike Umri usizidi 35.
  4. Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  5. Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  6. Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  7. Natafuta mtu anayetoa huduma za kisheria

    Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
  8. Mimi ni dereva mzoefu, natafuta Bajaji

    Habari wakuu, Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam. Contacts. 749662314 Nawaslisha. Wasalaam
  9. Natafuta mwanamke

    Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
  10. F

    Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  11. Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  12. NATAFUTA DLDM YA KUNUNUA, DAR ES SALAAM

    Habari, Natafuta Dldm ya kununua offa yangu 2.5 Hadi 3 Mil Mauzo kwa siku angalau iwe 25k Hadi 30k kwenda juu DUKA LA DAWA MUHIMU
  13. Natafuta Caterpillar la kusafisha shamba jipya (pori)

    Wakuu natumai mu-wazima wa afya, Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar). Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
  14. R

    Bado natafuta kazi

    Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
  15. NATAFUTA NAFASI YA INTERNSHIP BSC CHEMISTRY

    habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship iwe kiwandan au migodoni kote nafany as quality controller, lab scientist and chemist. mwenye kujua...
  16. Natafuta msimamizi wa shamba la mifugo na kilimo

    Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba ndio linaanzishwa 2. Lita include mifugo kama kuku wa kienyeji, Bata na mbuzi. 3. Mradi wa kilimo...
  17. M

    Msaada natafuta huu wimbo

    Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba, Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
  18. B

    Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
  19. A

    Natafuta mwanamke(mchumba)

    Natafuta Mchumba wa kike Mimi nina miaka 25 Sifa Umri 27-20 Elimu form 4-Degree Makazi-Dar es salaam(Wilaya ya ubungo) KAZI yeyote tu Anicheki kwenye email ebrahalwatan@gmail.com
  20. H

    Natafuta shared office - Kinondoni

    Habarini. Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa. Hivyo naombeni wazoefu wa shared office mnipe ABC zake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…